Herufi MOD APK 1.0.0, Free
Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu! App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya! Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”!Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me."Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:FAIDA- Atambue sauti za herufi.- Afananishe herufi.- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.- Acheze kwa uhuru.- Apende kujifunza.VILIVYOMO- Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya.- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.- Inafanya kazi BILA MTANDAO.Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja. Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABETAhsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza. "Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja. KUHUSU “AKILI AND ME”“Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika. Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili. Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya). KUHUSU UBONGOUbongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo. Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika. ONGEA NASIKama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia [email protected]. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
Herufi Introdução
Herufié um jogo popular de educational que vem ganhando muitos fãs ao redor do mundo que ama jogos de educational . Se você quiser baixar esse jogo, modroid é sua melhor escolha, por ser o maior site do mundo para baixar jogos apk gratuitos. Além de oferecer as últimas versões doHerufi1.0.0gratuitamente, Modroid também oferece Free mod gratuitamente, te ajudando a pular tarefas repetitivas nos jogos, para que você possa focar em aproveitar a diversão trazida pelo jogo. Moddroid promete que nenhum mod do Herufiirá cobrar nenhuma tarifa dos usuários, além de ser 100% seguro e gratuito para instalar. Baixe o moddroid client para baixar e instalar o Herufi 1.0.0 com um clique. O que você está esperando? Baixe o moddroid e jogue!
Jogabilidade única
Herufi é um jogo popular de educational . Sua jogabilidade única tem atraído um grande número de fãs ao redor do mundo. Diferente do jogos tradicionais de educational , noHerufi, você apenas precisa ir ao tutorial para iniciante para que você possa iniciar facilmente o jogo e aproveitar a alegria trazida pelo clássico jogo de educational Herufi 1.0.0. Ao mesmo tempo, moddroid construiu uma plataforma especial para amantes de jogos de educational , permitindo que você se comunique e compartilhe com todos os amantes de jogos educational pelo mundo. O que você está esperando? Entre no modroid e aproveite os jogos de educational com parceiros ao redor do mundo.
Tela atraente
Como jogos tradicionais de educational ,Herufi tem um esitlo artístico único, e seu gráfico de alta qualidade, mapas e personagens fazem com que o Herufi atraia muitos fãs de educational , e comparado com os jogos tradicionais de educational , Herufi 1.0.0 adotou um mecanismo virtual atualizado com atualizações ousadas. Com tecnologia avançada, a experiência de tela do jogo foi melhorada consideravelmente. Mantendo ao máximo o estilo original dos jogos de educational , a experiência sensorial do usuário foi melhorada. Existem diferentes tipos de apk e celulares com excelente adaptabilidade, garantindo que todos os amantes de jogos de educational possam desfrutar da alegria trazida porHerufi 1.0.0
Mod único
O tradicional jogo de educational requer que os usuários gastem muito tempo para acumular suas habilidades no jogo, o que é o recurso e diversão do jogo, mas, ao mesmo tempo, o processo de acúmulo irá, inveitavelmente, deixar a pessoa cansada. Mas agora, os mods vieram para modificar essa situação. Aqui, você não precisa de gastar a maior parte da sua energia em repetir a chata tarefa de acumular habilidades. Os mods permitem que você pule esse processo, ajudando você a focar em aproveitar a alegria do jogo.
Baixe agora
Clique no botão de download e instale o App do Modroid. Você será diretamente direcionado para baixar a versão gratuita do mod Herufi versão1.0.0 no moddroid e instalar o pacote completo com um click. Tem muitos jogos mod populares esperando por você. O que você está esperando? Baixe agora!